
๐ ๐ฟ ๐๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ต๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ๐๐ฎ ๐๐น๐ถ๐บ๐ ๐ฆ๐ผ๐น๐๐๐ถ๐ผ๐ป๐
June 15, 2025 at 03:59 AM
๐ TAARIFA MUHIMU ZA KUOMBA MKOPO (HESLB)
*Kwa anayetaka kua wa kwanza kuomba mkopo na tayari aneshahakiki vyeti vyake nitumie hizi taarifa ili dirisha likifunguliwa tuu, tuanze kazi*
*KAZI ZOTE ZINAFANYIKA ONLINE HAKUNA HAJA YA KUKUTANA USO KWA USO* umbali sio kikwazo tena
๐ง 1. *TAARIFA ZA USAJILI*
๐งพ Namba ya Mtihani wa Kidato cha IV & VI
๐ฑ Namba ya Simu ya Mwombaji
๐ง Email Address ya Mwombaji
๐ฐ Ada ya Maombi: Tsh 30,000/= (Lipa kupitia Control Number ya Serikali)
๐ผ 2. *TAARIFA ZA KUZALIWA*
๐
Tarehe ya Kuzaliwa
๐ RITA Verification Code (Kwa Bara tu โ waliokamilisha uhakiki RITA)
๐ Mkoa & Wilaya Ulikozaliwa
๐ผ๏ธ Passport Size (Blue background)
๐ 3. *MAELEZO YA MAKAZI YA KUDUMU*
โ๏ธ S.L.P ya makazi
๐ Mkoa, Wilaya, Kata, Kijiji/Mtaa
๐ก Namba ya Nyumba
๐ค Post Code ya Mtaa
๐จโ๐ฉโ๐งโ๐ฆ 4. TAARIFA ZA WAZAZI/WALEZI
โฟ Je una ulemavu?
๐ต Mama yuko hai?
๐ด Baba yuko hai?
โฟ Wazazi wana ulemavu?
๐งโ๐ซ Una mlezi?
๐งพ Upo chini ya mpango wa tsifa wa kaya masikini? Yaani TASAF? (Kama ndiyo Andaa namba za usajili)
*Mama*
Jina kamili, Kazi, Namba ya Simu, S.L.P
Postcode, Mkoa, Wilaya, Kata, Mtaa
Elimu & Namba ya Nyumba
*Baba*
Jina kamili, Kazi, Namba ya Simu, S.L.P
Postcode, Mkoa, Wilaya, Kata, Mtaa
Elimu & Namba ya Nyumba
๐ซ 5. *TAARIFA ZA ELIMU*
๐ Je ulifadhiliwa kusoma sekondari?
๐ Umehitimu Kidato cha Sita?
๐งพ *Diploma Details (Kama ulisoma Diploma)*
Namba ya Mtihani
AVN Number
Chuo ulichosomea
Mwaka wa kuhitimu
๐ผ 6. *TAARIFA ZA MFADHILI (Kama ulifadhiliwa ukiwa unasoma)*
๐งโโ๏ธ Jin+a la Mfadhili
โ๏ธ Namba ya Simu
โ๏ธ Barua ya Ufadhili
๐ฎ S.L.P ya Mfadhili
๐ค 7. *TAARIFA ZA MDHAMINI*
๐งโ๐ผ Jina Kamili
๐ป Jinsia
๐ Mkoa, Wilaya, Kata, Mtaa
โ๏ธ Email Address
๐ Kitambulisho (NIDA / Kura / Leseni / Passport)
๐ผ๏ธ Passport Size (Blue background)
๐ Post Code & Namba ya Nyumba
๐ฆ 8. *TAARIFA ZA BENKI*
๐ท๏ธ Majina ya Account (yawe kama kwenye vyeti vyako)
๐ณ Namba ya Akaunti ya bank
๐๏ธ Jina la Benki
๐ซ 9. *KWA WALIO CHUONI (Continous Students)*
๐ซ Jina la Chuo
๐ Kozi Unayosoma
๐ Registration Number
Huduma zinazotolewa:
โ
Kuomba mkopo (HESLB & ZHELB)
โ
Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa/kifo (RITA)
โ
Kutengeneza vyeti vipya
โ
Kuomba vyuo
โ
Taarifa zote online โ Unahitaji tu taarifa sahihi
Wasiliana na:
Mr Chakushangaza โ 0627368679
๐
1