SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 15, 2025 at 07:13 PM
*NICO ANUKIA BARCA⚽* Msimu uliopita klabu ya Barcelona ilikuwa timu tishio zaidi katika safu ya ushambuliaji, umahiri wa kinda Lamine Yamal, Raphinha na Robert Lewandowski ulitosha kabisa kuifanya Barca kuwa hatari, wapinzani wao wakuu katika ubingwa pale Hispania Real Madrid ni mashahidi kwa fedheha walizokumbana nazo msimu uliopita. Licha ya ubora huo Barcelona wanatajwa kuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili winga wa Atletic Bilbao, Nico Williams. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *NICO ANUKIA BARCA⚽*  Msimu uliopita klabu ya Barcelona ilikuwa timu t...

Comments