SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 15, 2025 at 07:16 PM
*KENGOLD KUWASILI KESHO TABORA ⚽* Wachezaji wa Kengold Fc 🇹🇿 wametumiwa nauli na Uongozi wa Klabu hiyo ili wafike Tabora kwaajili ya mechi ya NBC PL 🇹🇿 dhidi ya Simba Juni 18 ✅ Kila mchezaji atasafiri kivyake na wataanza kuwasili Tabora kesho Jumatatu kwaajili ya mechi ya Jumatano 👀 SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *KENGOLD KUWASILI KESHO TABORA ⚽*  Wachezaji wa Kengold Fc 🇹🇿 wametu...

Comments