SITTA SPORTS ARENA
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 15, 2025 at 09:16 PM
                               
                            
                        
                            *GATTUSO KOCHA MPYA WA ITALIA⚽*
Rasmi sasa Gennaro Gattuso ataingia kama kocha mkuu mpya wa timu ya taifa ya Italia kuelekea Fainali za kombe la Dunia 2026.
Makubaliano yamemalizika na Gattuso hivi karibuni atatangazwa kuwa Kocha wa Italia kuiendea misheni maalumu ya kurudisha heshima ya Italy kwenye Kombe la Dunia la 2026
SITTA SPORTS UPDATES ⚽