
SITTA SPORTS ARENA
June 15, 2025 at 09:19 PM
*SIMBA KURUDI KWA LAKRED TENA⚽*
Klabu ya Simba SC inafikiria kumrudisha tena golikipa Ayoub Lakred kurudi kuitumikia klabu hiyo kuelekea msimu ujao.
Viongozi wa Simba SC wanasubiri ripoti rasmi ya benchi lao la ufundi ikiwa litamuhitaji Ayoub Lakred watamrudisha kikosini.
- SITTA SPORTS UPDATES ⚽
