SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 15, 2025 at 09:22 PM
*OFA YA YANGA YAPIGWA CHINI⚽* Klabu ya Zoman FC imekataa ofa rasmi iliyotumwa na Yanga SC ili kupata saini ya Mshambuliaji Ecua Célestin (23) ambaye yupo kwa mkopo ASEC Mimosas- Imeripotiwa kuwa ofa ya Yanga SC haijawavutia Zoman FC ambao wanammiliki mchezaji huyo kwa sasa. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *OFA YA YANGA YAPIGWA CHINI⚽*  Klabu ya Zoman FC imekataa ofa rasmi il...
😂 1

Comments