
SITTA SPORTS ARENA
June 16, 2025 at 06:29 AM
*TABORA UNITED HALI TETE UKO⚽*
Wachezaji wa timu ya Tabora United leo wamegoma kusafiri kwa ajili ya mechi yao dhidi Azam FC, Wachezaji wa Tabora Utd wanadai mishahara yao ya miezi miwili pamoja na Posho.
Tabora Utd walikuwa wanasafiri leo kuja Dar Es Salaam kwa ajili ya mchzo wao dhidi ya Azam FC.
Mechi ya Azam FC dhidi ya Tabora United itacheza Azam Complex, Jumatano Juni 18.
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
