SITTA SPORTS ARENA
June 17, 2025 at 05:17 PM
*FIFA KUUFANYIA UCHUNGUZI MPIRA WA TANZANIA ⚽*
FIFA itafanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na Migogoro ya kimaamuzi iliyotokea.
Lakini pia imeiomba TFF kutoa ushirikiano katika masuala yote ili kuweza kupata uhalisia wa mambo yote yaliyotokea.
SITTA SPORTS UPDATES ⚽