
SITTA SPORTS ARENA
June 18, 2025 at 08:29 PM
*MATOKEO YA MICHEZO YA LEO LIGI KUU NBC PREMIER LEAGUE ⚽ 👇*
Mchezo wa Simba SC dhidi ya KenGold umetamatika, huku Mnyama akiibuka na ushindi mnono akiendelea kuweka presha kwa vinara wa Ligi Kuu, watani zao wa Jadi Young Africans.
FT: KengGold FC 0️⃣-5️⃣ Simba SC
Kibu Denis⚽⚽
Elia Mpanzu⚽
Ateba⚽
Ahoua ⚽
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
