
SITTA SPORTS ARENA
June 18, 2025 at 08:35 PM
*YANGA YAZIDI KUKAA KILEKENI⚽*
Klabu ya Yanga imeendelea kuusogelea ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu, baada ya leo kukusanya alama tatu muhimu kule Sokoine wakiiadhibu Tanzania Prisons.
FT: Tanzania Prisons 0️⃣-5️⃣ Yanga SC
Mudathir ⚽
Chama ⚽
Pacome ⚽⚽
Mwenda⚽
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
