
TRT Afrika Swahili
June 18, 2025 at 02:06 PM
Unafahamu kuwa nafasi wa Ayatollah nchini Iran ni ya uwezo mkubwa kuliko hata ile ya rais?
Yeye ndiyo mkuu wa nchi, Amiri jeshi mkuu na ndiyo mwenye kauli ya mwisho inapotokea suala la amri, maagizo na sera za nchi katika masuala mbalimbali
Mfahamu zaidi⤵️
https://vt.tiktok.com/ZSkpfHC4V/