
TCRA TANZANIA
June 13, 2025 at 11:38 AM
📌TUPO LIVE kupitia Chaneli ya YouTube ya TCRA @tcra_tanzania📌
🗓️: 13 Juni, 2025
🕕: Saa 12 Jioni
📺: YouTube @tcra_tanzania
Bofya link au tembelea chaneli yetu ya YouTube, kufuatilia mubashara mahojiano kuhusu “Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijiti” pamoja na kalebu Gwalugano 👉 https://youtube.com/live/BsE-ojnkWO4?feature=share
#tcratz #futadeletekabisa #sambazamchongosiouongo #nirahisisana #sitapeliki

👍
2