TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

254.2K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
June 17, 2025 at 03:51 PM
Bi. Sophia Mabada, afisa kutoka TCRA Ofisi ya Zanzibar akitoa elimu ya Klabu za Kidijiti na Kampeni ya Ni Rahisi Sana katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kampasi ya Zanzibar tarehe 17 Juni, 2025. Mkutano huo ulilenga kutoa hamasa kwa ajili ya uanzishwaji wa Klabu za Kidijiti pamoja na kupata elimu ya usalama mtandaoni. ambapo chuo hiko kimefanikiwa kuanzisha Klabu ya Kidijiti. Klabu ya Kidijiti ni jukwaa linalowakutanisha wanafunzi wa ngazi zote za elimu, wanaopenda masomo ya sayansi na teknolojia kwa lengo la kupata uelewa, kuhamasika kubuni na kuvumbua hazina kidijiti. 📌Ewe mwalimu au mwanafunzi, tembelea digitalclubs.tz leo kujiunga na klabu ya kidijiti uipendayo au kuanzisha klabu yako.📌 #tcratz #digitalclubs #klabuzakidijiti #digitaleconomy #uchumiwakidijiti #elimukwaumma #futadeletekabisa
Image from TCRA TANZANIA: Bi. Sophia Mabada, afisa kutoka TCRA Ofisi ya Zanzibar akitoa elimu ya...

Comments