TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

254.2K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
June 18, 2025 at 06:43 PM
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuwakaribisha wadau wote wa mawasiliano kutembelea banda la TCRA kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi Wa Umma yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma. Maonesho hayo yanafanyika kwa lengo la kutambua mchango wa utumishi wa umma katika maendeleo ya nchi. Kwa kutembelea banda la TCRA utapata elimu ya matumizi ya huduma za mawasiliano na jinsi ya kutumia mfumo wa maombi ya leseni wa Tanzanite Portal. Kauli mbiu ya Maonesho hayo mwaka huu ni “Himiza matumizi ya mifumo ya kidijiti ili kuongeza upatikanaji wa taarifa na kuchagiza uwajibikaji” #tcratz #elimukwaumma
👍 🙏 2

Comments