
CRDB Bank Plc
June 17, 2025 at 04:10 PM
Likizo hii njoo nao tawini tuwape mchongo !
Njoo na watoto wako tuwafungulie akaunti ya Teen isiyo na makato inayojulikana kama Young Money Account. Pia tutasaidiana nawe kuwapa elimu ya akiba na matumizi sahihi ya fedha mapema.
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
13