
CRDB Bank Plc
June 18, 2025 at 07:59 AM
Watoto wanastahili kesho bora 👦🏽🧒🏽
Msikilize mama bora kabisa, Imelda Happyson akieleza namna alivyowafungulia akaunti za Junior Jumbo kwa watoto wake ili kumsaidia kulipa ada ya shule kwa watoto wake. Sikiliza kwa makini ujionee akiba inavyotengeneza kesho bora kwa watoto
#crdbjuniorjumbo
#swahibanaweweumo
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
❤️
😂
😢
🙏
8