
CRDB Bank Plc
June 19, 2025 at 02:48 PM
Hii ni kwa wewe Supa Fan wa Soka tu! ⚽️
Upo tayari kusafiri na timu yako kwenda kuiwakilisha nchi kimataifa? Follow kurasa za Instagram za @crdbbankplc na @crdbbanksports, weka notification usipitwe na maswali tutakayoanza kuuliza kuanzia kesho kupitia kurasa zetu mtandaoni.
Sikiliza maelekezo kwenye video
#crdbbankfederationcup
#crdbbank
#tunakusikiliza
👍
😮
4