
CRDB Bank Plc
June 20, 2025 at 03:09 AM
We jibu maswali tu, nauli, malazi, bata tutakusababishia!
Supa Fan upo? Ni wakati wako wa kushinda safari iliyolipiwa kila kitu kusafiri na timu yako iliyochukua ubingwa wa CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 kati ya Yanga SC na Singida Black Stars katika mechi ya kwanza ya ugenini ya Ligi ya mabingwa Afrika. Kaa tayari kwa maswali kuanzia leo Juni 20, 2025
*Vigezo na Masharti Kuzingatiwa
#crdbbankfederationcup
#bolikiushindani
#crdbbank
#tunakusikiliza

👍
❤️
😂
🙏
14