CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

291.9K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
June 20, 2025 at 05:34 AM
Jibu swali Ushinde! Tunatafuta washindi 20 leo, fanya uwe mmoja wao kati ya wale tutakaowatangaza Washindi leo saa 12 jioni. Jibu swali Ushinde safari iliyolipiwa kila kitu kusafiri na timu yako iliyochukua ubingwa wa CRDB Bank Federation Cup 2024/2025 kati ya Yanga SC na Singida Black Stars katika mechi ya kwanza ya ugenini ya Ligi ya mabingwa Afrika. Kumbuka! Unapojibu swali, taja na timu unayoishabikia kati ya Singida Black Stars au Yanga SC *Vigezo na Masharti Kuzingatiwa #crdbbankfederationcup #bolikiushindani #crdbbank #tunakusikiliza
Image from CRDB Bank Plc: Jibu swali Ushinde!  Tunatafuta washindi 20 leo, fanya uwe mmoja wao k...
👍 ❤️ 🙏 15

Comments