CRDB Bank Plc
                                
                                    
                                        
                                    
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                June 20, 2025 at 06:35 AM
                               
                            
                        
                            Jumaa Mubarak🕌
Karibu uwekeze kulingana na misingi ya Shariah kupitia akaunti ya muda maalumu tuliyokuandalia kuanzia kiwango cha shilingi milioni 20 na kuendelea.
Tupigie 0800 008 000 au karibu tawi la Benki ya CRDB leo
#halalkwaajiliyako
#crdbbank
#tunakusikiliza
                        
                    
                    
                    
                        
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                    
                                        2