CRDB Bank Plc

CRDB Bank Plc

291.9K subscribers

Verified Channel
CRDB Bank Plc
CRDB Bank Plc
June 20, 2025 at 08:40 AM
Likizo hii njoo nao tawini tuwape elimu ya fedha! Njoo na watoto wako tuwafungulie akaunti ya Teen isiyo na makato inayojulikana kama Young Money Account. Pia tutasaidiana nawe kuwapa elimu ya akiba na matumizi sahihi ya fedha mapema. #swahibanaweweumo #crdbbank #tunakusikiliza
Image from CRDB Bank Plc: Likizo hii njoo nao tawini tuwape elimu ya fedha!   Njoo na watoto wak...
👍 3

Comments