JamiiForums
June 16, 2025 at 01:26 PM
DAR: Akiongea Mahakamani leo Juni 16, 2025, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amesema kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa, anakaa upande wa Watu waliohukumiwa kifo katika Gereza la Ukonga
Zaidi https://jamii.app/LissuKuhusuGerezani
😢
😂
✌
👍
🙏
👏
🖕
😣
😮
😹
38