
JamiiForums
June 17, 2025 at 08:53 AM
Israel na Iran wamekuwa wakishambuliana kwa Makombora kwa Siku ya tano mfululizo, baada ya Israel kufanya mashambulizi ya anga Juni 13, 2025 dhidi ya maeneo ya Iran, ikiwemo Shirika la Utangazaji la Taifa huko Tehran na vituo vya kurutubisha Urani
Iran ilijibu kwa kurusha Makombora na Ndege zisizo na Rubani (Drones) kuelekea Miji ya Israel, na kusababisha vifo vya raia zaidi ya 220 Nchini Iran na takriban 24 Nchini Israel
Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth amesisitiza kuwa Marekani iko katika msimamo wa kujilinda, ikiwa tayari kusaidia kufanikisha makubaliano ya amani na kulinda majeshi yake katika eneo hilo lakini si kwa ajili ya kushambulia.
Soma https://jamii.app/IsraelIranMissileTrade

😂
😢
👍
🙏
❤️
😮
23