JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 17, 2025 at 06:11 PM
MBEYA: Mwanafunzi wa Mwaka wa Kwanza wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST), Emilian J. Duzu (21) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za mauaji ya Gerald P. Said (22), Mwanafunzi wa Mwaka wa Tatu katika Chuo hicho, tukio ambalo limetokea Alfajiri ya Juni 14, 2025 Polisi imeeleza tukio lilitokea katika maeneo ya Klabu ya Muziki ya Mbeya Pazuri, ikidaiwa Emilian alimjeruhi Gerald kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni, akakimbizwa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya lakini alifariki Saa 7:00 Mchana Soma https://jamii.app/AmuuaMwanafunziClub
😢 😮 👍 🙏 😂 ❤️ 😭 44

Comments