JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 17, 2025 at 07:31 PM
KENYA: Polisi wa kutuliza ghasia wamempiga Risasi Kijana mmoja aliyekuwa kwenye Maandamano ya kudai haki kwenye kifo cha Mwanaharakati Albert Ojwang, ambaye Uchunguzi na Mahojiano ya Polisi vilimebaini alifariki kwa kupigwa na Wafungwa kwa amri ya Mkuu wa Kituo cha Polisi (OCS) na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi (DIG) Video inayosambaa Mtandaoni inawaonesha Askari wawili wa kutuliza ghasia wakimfuata Kijana muuza Barakoa, kumpiga na kitako cha Bunduki, kisha kuongea nae kidogo kabla ya Polisi mmoja wao kumnyooshea bunduki na kumfyatulia Risasi, kisha kuondoka Imeelezwa, Polisi aliyehusika katika tukio hilo tayari anashikiliwa, baada ya Inspekta Jenerali wa Huduma ya Polisi ya Taifa (NPS) kuagiza kukamatwa mara moja na kufikishwa Mahakamani Soma https://jamii.app/KifoRaiaProtestOjwang
Image from JamiiForums: KENYA: Polisi wa kutuliza ghasia wamempiga Risasi Kijana mmoja aliyeku...
😢 🙏 ❤️ 😂 💔 😭 😊 😮 25

Comments