JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 18, 2025 at 08:14 AM
Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa mamlaka husika kushughulikia kero ya mazingira duni ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mkanaledi ya Mtwara, akidai hali hiyo inahatarisha Afya za Watumiaji na wanavyovizunguka Soma https://jamii.app/VyooVichafuMkanaledi
Image from JamiiForums: Mdau wa JamiiForums.com ametoa wito kwa mamlaka husika kushughulikia k...
😢 🙏 🫂 5

Comments