JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 18, 2025 at 12:43 PM
DODOMA: Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, leo Juni 18, 2025 amezungumzia hali ya Uchumi wa Taifa kwa Mwaka 2024 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, akisema bado deni letu ni himilivu, hivyo kama Waziri wa Fedha anakopa ili kuleta maendeleo akope, Bunge litapitisha Soma https://jamii.app/KigwangallaMikopoMwigulu
🖕 🚮 👎 😢 😂 👍 😁 😬 🙌 🙏 26

Comments