
JamiiForums
June 18, 2025 at 01:48 PM
GEITA: Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema tangu kupata uhuru, Tanzania imepata maendeleo makubwa na kwamba anayesema hakuna kilichofanyika anamfanisha na 'Kasuku' kwa kuwa anazungumza mambo kwa kukariri bila kujua maana yake
Amesema hayo Juni 17, 2025 alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara huko Wilayani Katoro
Soma https://jamii.app/WasiraKatoro
😂
🖕
👎
🚮
❤️
💯
🗣
😢
😬
😹
27