JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 18, 2025 at 02:46 PM
ARUSHA: Akizungumza katika tukio la Serikali kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Uwanja wa Michezo wa Kisasa wa Arusha Council Sports Complex, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema “Nawaomba tumrudishe Mama, tutafanya makubwa zaidi.....mtakaposhtaki hamuwezi kufanikiwa.” Uwanja huo ambao utajengwa eneo la Bondeni City, utakuwa na uwezo wa kubeba Watu kati ya 8000 - 10,000 walioketi, ukiwa umezungukwa na Viwanja vya Mpira wa Kikapu 2, Uwanja wa Mpira wa Wavu (1) na Viwanja vya Tenisi (2) Soma https://jamii.app/KariaArusha
👎 🖕 😢 🙏 ❤️ 👀 👍 😂 😡 😮 27

Comments