JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 18, 2025 at 04:00 PM
Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2024/25 zinaendelea kushika kasi, Yanga imeendelea kubaki katika nafasi ya kwanza kwa kufikisha Pointi 76 baada ya kuiunga Tanzania Prisons Magoli 5-0, #simba ipo nafasi ya pili ikiwa na alama 75 baada ya kuichapa KenGold Magoli 5-0 pia Yanga imeshinda ikiwa ugenini kwenye Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya wakati Simba nayo ilikuwa ugenini kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora Timu hizo mbili zimesaliwa na michezo miwili kukamilisha Ligi, ukiwemo unaozikutanisha zenyewe mnamo Juni 25, 2025 kwenye Uwanja wa Mkapa, ambapo ni mchezo unaotarajiwa na wengi kuwa utaamua bingwa wa Ligi Soma https://jamii.app/MbioZaUbingwa
Image from JamiiForums: Mbio za Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2024/25 zinaendelea...
👍 ❤️ 🙏 👏 🔥 😮 13

Comments