JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 18, 2025 at 05:25 PM
Kijana, Kujua haki zako ni ngao ya kukulinda. Ukiwa na uelewa wa haki zako, unapata ujasiri wa kuzitetea si tu kwa ajili yako, bali pia kwa ajili ya wengine katika jamii. Ni wajibu wetu sote kujielimisha kuhusu haki na majukumu yetu kama raia Tuelewe sheria, sera na mifumo ya kisheria inayotuathiri na tushiriki kikamilifu katika michakato ya maamuzi ili kuhakikisha jamii yenye haki, usawa na uwajibikaji
Image from JamiiForums: Kijana, Kujua haki zako ni ngao ya kukulinda. Ukiwa na uelewa wa haki ...
👍 ❤️ 🙏 ☝️ 👏 💚 25

Comments