JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 18, 2025 at 08:20 PM
Jeshi la Polisi limesema Sheikh Zuberi Said Nkokoo (53) Mwalimu wa dini na Kiongozi wa Taasisi ya Islam Foundation ya Singida ambaye iliripotiwa ametekwa, imebainika hakutekwa na anatarajiwa kufikishwa Mahakamani baada ya taratibu za Kisheria kukamilika Taarifa ya Polisi imeeleza Sheikh Nkokoo alidai kutekwa na Watu aliowataja kuwa ni Askari wa Jeshi la Polisi, Juni 2, 2025 akiwa na Tsh. Milioni 42, lakini Uchunguzi umebaini alitengeneza tukio la uongo la kutekwa ili kukimbia madeni aliyokuwa akidaiwa na Watu mbalimbali (majina yao yamehifadhiwa) jumla ya Tsh. Milioni 521.5 Soma https://jamii.app/PolisiKuhusuUtekaji
😂 😮 👍 😅 😢 🤔 ❤️ 🏃‍♂️ 🙌 44

Comments