JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 19, 2025 at 08:46 AM
*GEITA* : Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema muda wa Miaka mitano hauwezi kumaliza matatizo yote ndani ya Nchi na wale wanaodhani hilo linawezekana ni Watu wa ajabu Amesema hayo wakati akizungumza na Wanachama wa CCM katika kikao cha ndani, jana Juni 18, 2025, Geita Mjini Soma https://jamii.app/WasiraGeita
😂 🚮 🖕 😢 ✌️ 🇹🇿 😏 😡 😬 😮 29

Comments