
JamiiForums
June 19, 2025 at 09:21 AM
*DAR* : Akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Manzese, Juni 18, 2025, Mwanachama wa Chama cha #actwazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewasisitiza Wanachama wa Chama hicho kuwa washiriki katika Uchaguzi wa 2025 na muhimu wanatakiwa kulinda Kura wanazopiga
Soma https://jamii.app/PondaJuni18
😂
😢
😁
🦮
10