
JamiiForums
June 19, 2025 at 11:11 AM
*MALEZI* : Mdau wa JamiiForums.com akitaja mambo mbalimbali ya kumfundisha Mtoto wako anasema, akiingia Darasa jipya, awaangalie wenzake wasio na uwezo mkubwa, awape Vitabu vyake watumie kusoma badala ya kuviacha vikiharibika ndani
Pia, wajue kwa Majina Marafiki zake kadri unavyoweza, jua Maendeleo yao, wakiwa Wagonjwa mpe nafasi akawasalimie, utamjengea Ushirika mkubwa kwenye Maisha yake ya ukubwani.
Unakubaliana na Mdau?
Soma zaidi https://jamii.app/WatotoElimuNetwork

❤️
👍
🙏
❤
23