JamiiForums

JamiiForums

712.6K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 19, 2025 at 12:02 PM
DAR: Akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika Manzese, Juni 18, 2025, Mwanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, amewasisitiza Wanachama wa Chama hicho kuwa washiriki katika Uchaguzi wa 2025 na muhimu wanatakiwa kulinda Kura wanazopiga Soma https://jamii.app/PondaJuni18
😂 👍 👏 ❤️ 😢 😮 11

Comments