
JamiiForums
June 20, 2025 at 09:26 AM
Wadau mbalimbali ndani ya JamiiForums.com kwa nyakati tofauti (Mwaka 2009 - 2025) wamependekeza kuwe na ukomo kwa nafasi za Wabunge na Udiwani
Mfano, Juni 2021, Mdau alisema “Ili tupate Maendeleo, tunahitaji mawazo mbadala kila kukicha, kuna Watu wamekuwa 'Monopoly' wa majimbo yao Miaka nenda rudi.”
Septemba 2018, Mdau akasema “Ubunge na Udiwani uwe vipindi Viwili kama Urais, wakikaa muda mrefu wanakosa ari ya kuwaletea maendeleo Wananchi.”
Una maoni gani kuhusu Mapendekezo haya?
Mjadala https://jamii.app/UkomoWaUbunge

👍
❤️
🙏
❤
📌
19