
Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW)
May 28, 2025 at 09:57 AM
Chuo cha Ustawi wa Jamii kimefungua rasmi mfumo wa maombi ya kujiunga na kozi za Cheti cha msingi na Diploma zitakazotolewa katika mwaka wa masomo 2025/2026 katika Kampasi za Dar es Salaam na Kisangara, Mwanga, Kilimanjaro.
#udahili20252026
#chuochaustawiwajamii
#apply Via oas.isw.ac.tz

😮
1