
Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW)
26.8K subscribers
Verified ChannelAbout Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW)
Institute of Social Work (Chuo cha Ustawi wa Jamii) Public Higher Learning Institution in Tanzania established in 1973. kijitonyama, Dar es Salaam. Institute of Social Work 📞 067 711 1200 / 0735 509 090
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Ni muda wako sasa wa kupata maarifa mapya. Jiunge na #chuochaustawiwajamii kwa ngazi ya #Certificate na #Diploma katika Kozi mpya zitakazo anza kudahiliwa Mwaka huu wa masomo 2025-2026 #Udahili20252026 #chuochaustawiwajamii #Apply Via oas.isw.ac.tz Application Deadline 30th June 2025.


Chuo cha Ustawi wa Jamii kimefungua rasmi mfumo wa maombi ya kujiunga na kozi za Cheti cha msingi na Diploma zitakazotolewa katika mwaka wa masomo 2025/2026 katika Kampasi za Dar es Salaam na Kisangara, Mwanga, Kilimanjaro. #Udahili20252026 #chuochaustawiwajamii #Apply Via oas.isw.ac.tz


#kuelekea siku ya Wababa Duniani #ISW #Chuochaustawiwajamii