
RFI Kiswahili
June 15, 2025 at 11:03 AM
https://vm.tiktok.com/ZMSfKmUE1/
Majengo manne yameripotiwa kuporomoka katika eneo la Mathura, kaskazini mwa India, kufuatia hali ya mbaya ya hewa iliyoshuhudiwa mapema Jumapili asubuhi.
Vikosi vya uokoaji kutoka Shirika la Taifa la Kukabiliana na Maafa (NDRF) na Kikosi cha Jimbo (SDRF), kwa kushirikiana na maafisa wa zimamoto, manispaa na utawala wa eneo, wanaendeleza juhudi za kuwaokoa watu waliokwama chini ya kifusi kama unavyoona kwenye video hii
📷Reuters
😢
😮
🙏
4