
RFI Kiswahili
June 15, 2025 at 06:27 PM
Iran italipia 'gharama kubwa' kwa vifo vya raia: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin #netanyahu leo Jumapili amezuru eneo la makazi ya watu karibu na #telaviv lililoharibiwa na shambulio la kombora la #iran.
Ziara yake imejiri wakati huu juhudi zikiendelea kuwatafuta watu waliofukiwa chini ya vifusi vya jengo la ghorofa lililoporomoka katika mji wa Bat Yam, kusini mwa Tel Aviv.
🎥Reuters
🙏
😢
😮
4