
RFI Kiswahili
June 16, 2025 at 02:20 AM
Milipuko hii inaripotiwa muda mfupi kupita baada ya jeshi la Israel🇮🇱 kuonya kuhusu shambulio jipya kutoka nchini Iran🇮🇷 na kuwataka raia kusalia katika maeneo salama hadi pale ambapo watakapopewa taarifa zaidi.
📷Reuters

😢
😮
2