
RFI Kiswahili
June 16, 2025 at 02:31 AM
Wanajeshi wa Israel🇮🇱 wamewaua raia 59 wa Palestina🇵🇸, 17 kati yao wakiuuawa wakati wakijaribu kufikia vituo vya kutoa chakula cha msaada kutoka kwenye wakfu wa missada unaoongozwa na Marekani🇺🇸 na Israel.
Mauaji haya yameripotiwa na wizara ya afya kwenye eneo husika.

🙏
👍
😢
5