
RFI Kiswahili
June 16, 2025 at 03:03 AM
Rais wa Marekani🇺🇸 Donald Trump alikataa mpango wa Israel 🇮🇱wa kuuawa kiongozi wa juu wa kiroho wa Iran🇮🇷 Ayatollah Ali Khamenei, kulingana na taarifa ya maofisa wawili kutoka serikali ya Marekani.
Kulingana maofisa hao, Trump alimwambia Benjamin Netanyahu mpango wake wa kumuua Khamenei haukuwa mzuri licha ya Trump mwenyewe kutozungumzia suala hilo hadharani.
Inaripotiwa kuwa mazungumzo kati ya wawili hao yalifanyika tangu Israel ilipoishambulia Iran siku ya Ijumaa.

❤️
😢
😮
6