RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 16, 2025 at 11:16 AM
Rwanda na #drcongo hazikufanikisha kutiwa saini kwa mkataba wa amani kama ilivyotarajiwa, licha ya juhudi zilizoratibiwa na #marekani ili kumaliza mapigano yanayoendelea mashariki mwa DRC. Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe, alieleza kupitia ukurasa wake wa X . Mkataba huo ulipaswa kuwa matokeo ya makubaliano ya awali yaliyofikiwa Aprili mwaka huu wakati wa mazungumzo mjini Washington, yakilenga kukomesha mzozo uliosababisha maelfu ya vifo na mamilioni kuyakimbia makazi yao. Kukwama kwa hatua hii muhimu ya kidiplomasia kunaacha mashaka juu ya mustakabali wa amani katika eneo hilo lenye migogoro ya mara kwa mara.
Image from RFI Kiswahili: Rwanda na <a class="text-blue-500 hover:underline cursor-pointer" href...
😢 🙏 ❤️ 😮 16

Comments