RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 18, 2025 at 06:43 AM
https://youtu.be/eNikt0KnU_U Tume ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya🇰🇪 Kenya National Commision on Human Rights, imetuhumu polisi wa Kenya, kwa kutumia nguvu kupita kiasi kuwakabili wandamanaji, waliokuwa wakiandamana kushinikiza haki kutendeka kufuatia mauaji ya mwanablogu Albert Ojwang akiwa mikononi mwa polisi. Yakijiri hayo idara ya polisi kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki, imesema imemkamata polisi aliyempiga risasi kichwani mchuuzi wa barakoa wakati wa maandamano katikati mwa jiji la Nairobi.
❤️ 👍 😢 😮 5

Comments