RFI Kiswahili

RFI Kiswahili

367.5K subscribers

Verified Channel
RFI Kiswahili
RFI Kiswahili
June 18, 2025 at 07:08 AM
https://youtube.com/shorts/blWLY9tm_XM?feature=share Nchini DRC🇨🇩, Waziri wa sheria Constant Mutamba, anatarajiwa kujiuzulu baadaye leo baada ya kufunguliwa mashtaka ya rushwa, bunge likiwa limeidhinisha afunguliwe mashtaka. Ripoti: Freddy Tendilonge mwandishi wetu wa Kinshasa
😂 ❤️ 👍 😢 12

Comments