
RFI Kiswahili
June 18, 2025 at 08:33 AM
https://youtu.be/YCWiIRaYaA8 Iran🇮🇷 imesema imetumia makombora ya masafa marefu na ya kasi zaidi katika mashambulio yake nchini Israeli🇮🇱, wakati huu nchi hizo mbili zikiendelea kukabiliana, Rais wa Marekani🇺🇸 naye akisema Iran ina muda kwa kujisalisha bila masharti.
Rais Trump pia amesema kiongozi wa kidini wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, hatalengwa kwa sasa.
Mfalme wa Jordan, Abdullah wa pili, naye amesema mzozo unaoendelea kati ya Israeli na Iran, unatishia usalama na uthabiti wa nchi zingine za kikanda, na huenda hali ikawa mbaya iwapo mashambulio yanayoendelea hayatositishwa.
❤️
👍
😮
😂
😢
🙏
9