
RFI Kiswahili
June 18, 2025 at 01:31 PM
https://youtube.com/shorts/L1kO7uMvVmM?feature=share Nchini DRC kumekuwa na mitazamo mseto kuhusu kujiuzulu kwa waziri wa sheria Constant Mutamba ambaye anatuhumiwa kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za serikali ambapo kiasi cha dola milioni 19 za Marekani zilizokuwa zimetengwa ili kujenga gereza la kisasa katika mji wa mkuu wa mkowa wa Tshopo wa Kisangani, inasemekana zilipotea katika mazingira tatanishi.
Wengi huko Congo wanahisi kwamba waziri huyo anakabiliwa na kesi ya kisiasa wakati baadhi ya waliokuwa mawaziri wengine na ambao wanakabiliwa na kesi kama hiyo wako huru mpaka sasa .
😮
👍
❤️
😂
😢
8