RFI Kiswahili
June 18, 2025 at 04:18 PM
https://youtu.be/0eFhun2VEKY Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Waziri wa sheria, Constant Mutamba, amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais Felix Tshisekedi, kutokana na madai ya ufisadi yanayomkabili.
Freddy Tendilonge anaeleza zaidi akiwa jijini Kinshasa….
😢
❤️
😮
🙏
7